Monday, September 03, 2007

Monday Moanings Part VIII


Aaaaaaaaaaaaah nap time aka lunch time
It's been eons since I have been here but rest assured I have been catching up with most of your blogs whenever possible. As you all know, my job bores me to tears; so I have decided to meet the situation head on. I have started job hunting, in addition I am going to put in a request for vacation effective 2 weeks time so I can go for interviews and such. I decided instead of moaning about it, it was time to do something. When you proudly refer to yourself as a disgruntled employee and have nothing good to say about your employer it's time to get moving. I'm the kind of person you don't want to your new employees missing, I will douse their fervour with a quickness. There is this dude I was in uni with who was hired the other day, the dude had so much psyke for the job as I could tell from the first call. I gave him some summary bile free knowledge and thought that would be enough for him but no, he just kept on calling; leaving voice mails and such. So I called him back and answered his myriad questions, most of which he needn't have bothered asking because this company is so desperate for people that they would have taken him anyway even if he knew jack about the company. He kept on asking me about how fast it would take him to move up the ladder, and I didnt want to tell him that I have had people on my team who have been there for years without progress, so I told him that as long as he meets his goal he'll move up (and you all say I'm a bastard!). Last straw is when he told me that when he is on lunch during his training period we should be meeting for lunch, I didnt have the heart to tell him that is when I go to sleep on my desk. Aaaaaaaaaaah that felt so cathartic.


Moving on, I can see the Kenyan political circus is in full gear. I'm not one for politics but I have to say that I am not shocked at all that Moi gave Kibaki his endorsement, after all these dudes were as tight peeps waaaaaaaaaaaaaaaay back when before some of were born. Plus I wouldnt be shocked at all if they had shared business interests. All I can hope is that Kenyans can vote wisely, I will never forget one day when I was visiting my friend. He comes from a very saved family whom I always thought saw the bigger picture till sometime around last election when I was in their living room and the news was on tv, Raila was on the screen and his mum loudly proclaimed, "hatuwezi patia huyo mjaluo kura!"
Needless to say I lost alot of respect for her that day, I would have understood if it was his firebrand politics or party jumping that put her off, but no it was just his tribe. The fact that we vote for people who speak the same language we do and have kinship ties with as opposed to those who may be able to do the right thing for us as a community is one reason why Kenyans will remain in the thrall of greedy ineffectual politicians for a long long time to come.
Meanwhile, Archer?! Farmgal?! Mko wapi? It was a great day in the English Premier League, Chelsea were shown they are just like everybody else and can be beat! With the new improved Liverpool squad this is going to be a very interesting season to say the least.
Anyway it's about time for me to go back to waging war on the establishment. Look out for my sporadic comments. Nice week all!

7 comments:

Seasons & Reasons said...

I agree that when you have nothing good to say about your employer, it best to move.

Maybe you need to explore your entrepreneurial spirit and invest here in Kenya, that way you have perpetual job satisfaction.

Politics in Kenya( nay..everywhere) sucks big time. Voting on tribal lines is not about to change here

Xuxa said...

Yep, it's time you moved on to something else that has a better chance of holding your interest.

As for Raila, that mama had the ignorance to express what a huge chunk of those opposed to him don't have the gall to admit in public. It's sheer narrow-mindedness and totally unnecessary.

Not that he has my vote mind you, just that my reasons are more valid :-)

Acolyte said...

@ seasons
I wish I had the capital to invest, this ka-job doesnt give me too much extra to spread after I pay bills, taxes et al.
Tribal bonds are waaaaaaaaaaay too strong to get rid of when it comes to voting, it can be done but it will take a long long time.
@ xuxa
I am all eyes and ears at this point in time I tell you.
I do think if you are going to stand against a politician it is best to do it from a non-bigoted point of view.

kipusa said...

woi all the best in finding that job we call "the one".

Anonymous said...

KIBAKI AWEZA

MUKTASARI WA MAFANKIO YA SERIKALI YA KIBAKI

UKWELI USEMWE

1. Watoto zaidi ya milioni 7.6 wafaidika kutokana na sera ya Rais Kibaki ya elimu ya bure katika shule za msingi.2. Pesa mashinani: Serikali inatoa zaidi ya shilingi milioni 60 kila mwaka katika kila eneo bunge. Yaani:
* Pesa za maendeleo za maeneo ya uwakilishi Bungeni (CDF).
* Pesa za kusaidia watoto watokao familia masikini kulipa karo za shule (Constituency Bursary Fund);
* Pesa za kutengeneza mabarabara ( Constituency Roads Fund) kwa manufaa ya wananchi
* Pesa za kupambana na athari za Ukimwi katika maeneo wakilishi bungeni (Constituency Aids Control Fund)
* Fedha za maendeleo kwa serikali za mitaa ( LATF)3. Matibabu bora na nafuu
* Usimamizi wa hospitali na vituo vya afya umeboreshwa kote nchini.
* Sasa Wakenya wanapata matibabu ya malaria na kifua kikuu (TB) katika hospitali zote za umma bila malipo.
* Watoto walio na umri wa miaka mitano na chini wapata matibabu ya aina zote bila malipo katika hospitali zote za umma.
* Serikali imepeana nyavu za mbu milioni sita zilizowekwa dawa kwa wananchi bila malipo ili kujikinga na ugonjwa wa malaria.
* Waathiriwa wa ugonjwa wa ukimwi kote nchini wapewa madawa (ARVs) bila malipo ili kupunguza makali ya ugonjwa huo
* Sasa madawa yapo ya kutosha katika hospitali zote za umma.
* Zahanati (dispensaries)zote nchini zinapokea shilingi 240,000 na vituo vyote vya afya (health centres) nchini zinapokea shilingi 180,000 kwa ajili ya kukarabati majengo.
* Zahanati na kiliniki 1,000 mpya zimejengwa kote nchini.


4. Maji kwa wakenya wote
* Zaidi ya visima 500 vyachimbwa kote nchini.
* Zaidi ya mabwawa 600 yamemalizika kujengwa.
* Zaidi ya miradi 200 ya unyunyiziaji maji yakamilishwa.
* Halmashauri za usambazaji maji zaundwa ili kuhakikisha usimamizi na ugawi bora wa maji mashinani.5. Uchumi wa Kenya umekua na kuimarika kwa kiwango cha asilimia 5.8 kufikia mwaka wa 2005 kutoka kiwango duni cha asilimia 0.3 mnamo mwaka wa 2002. Yaani mipango ya uchumi ya kibaki inaboresha nchi.

o Sasa wakenya wanaelekea kujitegemea, kwani ukusanyaji wa kodi na ushuru umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana. Kulipa ushuru ni kujitegemea.
o Azimio la mwelekeo wa nchi kufikia mwaka 2030 umezinduliwa – sasa tunjiani kuwa kati ya mataifa yaliyoendelea.6. Umeme Vijijini
* Zaidi ya miradi 160 ya usambazaji umeme katika wilaya 58 yakamilika.
* Miradi 940 katika maeneo bunge 191 itakamilika ifikapo Juni 2007 kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 6
* Miradi zaidi 268 kwa masoko, 418 kwa shule za sekondari, 288 kwa vituo vya afya, 107 kwa miradi ya maji, 43 kwa viwanda vya kahawa, 39 kwa viwanda vya majani chai, 13 kwa vituo vya polisi, kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni moja itakamilika ifikiapo tarehe 30 Juni 2007.
* Miradi 324 ya umeme vijijini katika maeneo bunge 162 kwa gharama ya shilingi bilioni 2 inatarajiwa kukamilika kufikia Desemba 2007.
* Shule 63 katika maeneo ya jamii za wafugaji zafaidika na utekaji wa nguvu za miale ya jua (solar energy); mradi huu umegharimu serikali shilingi milioni 178.
* Shilingi milioni 67 zagharamia usambazaji umeme katika vitongoji duni vya Mukuru, Mathare, Kayole, Kangemi na Kamukunji.
* Sasa hakuna tena upimaji wa lazima wa umeme uliokuwa ukisababishwa na ukosefu wa umeme wa kutosha. Serikali imebuni mbinu mpya za kuongeza kiwango cha umeme nchini.
* Sheria mpya ya kawi imepitishwa kuhakikisha umeme umefikia kila mwananchi wa Kenya.7. Miradi ya unyunyiziaji maji mashambani yafufuliwa. Mfano:
* Eneo la magharibi mwa Kenya; Miradi ya Ahero, Bunyala, Pekera na Kano.
* Eneo la Mashariki mwa Kenya; Mradi wa Mwea, wilayani Embu
* Eneo la Pwani mwa Kenya; Miradi ya Bura na Hola.8. Kilimo kimefufuliwa sasa wakulima wanapata faida zaidi

o Bei ya maziwa imeongezeka kutoka shilingi 7 mnano mwaka wa 2002 hadi shilingi 18 hivi sasa.
o Mahindi kutoka shilingi 600 kwa gunia la kilo 90 mnamo mwaka wa 2002 hadi shilingi 1,350 hivi sasa.
o Kahawa kutoka shilingi 1 (moja) kwa kila kilo mnamo mwaka wa 2002 hadi shilingi 35 sasa (ongezeko la zaidi ya asilimia 1,000).
o Wakulima wa miwa sasa wanalipwa bila kucheleweshwa.
o Ukulima wa pamba umezinduliwa.
o Kenya sasa ndio nchi ya tatu katika ukuzaji wa majani chai duniani.
o Ufugaji wa mifugo sasa unaleta faida – zaidi ya ng’ombe 12,000 na mbuzi 10,000 wameuzwa nchi za Mashariki ya Kati na Rwanda.
o Kenya imepata takriban shilingi milioni 322 kutokana na kuuza bidhaa za mifugo kufikia sasa.
o Karakana ya Utafiti wa magojwa ya mifugo huko Garissa imazinduliwa kwa gharama ya shilingi milioni 20. Wanaofaidi zaidi ni wafugaji kutoka mikoa ya Kaskazini Mashariki na Pwani.
o Wavuvi wamepata jumla ya shilingi bilioni 6 katika mwaka wa 2006 pekee.
o Shirika la Agricultural Finance Co-Operation (AFC) lafufuliwa na kuanza kutoa mikopo kwa wakulima kote nchini.
o Serikali yatoa mbegu kwa wakulima bila malipo
o Serikali yatoa mbolea kwa wakulima bila malipo
o Maendeleo mengi zaidi yamepatikana.9. Viwanda vyafufuliwa na kazi zaundwa
* Viwanda vya maziwa vya KCC.
* Kiwanda cha nyama cha Kenya Meat Commission.
* Shirika la ukuzaji mbegu la Kenya Seed.
* Halmashauri ya ununuzi wa nafaka ya Kenya National Cereals and Produce Board.
* Viwanda vya sukari kama vile Mumias, Nzoia, Sony na vinginevyo.
10. Utumishi wapewa motisha. Sasa huduma bora ni haki ya kila mwananchi.

o Mishahara ya walimu na wafanyikazi wa serikali imeongezwa.
o Ongezeko la asilimia 200 kwa malipo ya uzeeni; kustaafu hakutishi tena.

o Mishahara ya watumishi wa umma haichelewi tena

o Kuna mikataba ya utendakazi kwa watumishi wa umma inayoboresha huduma kwa wananchi.
o Mtazamo mpya wa matokeo kwa haraka (Rapid Results Approach) unahakikisha kasi katika utekelelezaji wa miradi kwa manufaa ya wananchi wote.11. Zaidi ya miradi 100 ya serikali iliyokuwa imekwama yakamilishwa. Kwa mfano,

o Nyumba za wafanyikazi kwenye makao makuu ya National Youth Service kwenye barabara ya kwenda Thika yakamilishwa.
o Makao makuu ya mkoa wa Nyanza yakamilishwa.
o Makao makuu ya wilaya kadhaa yakamilishwa ikiwemo: Vihiga, Makueni, n.k.12. Wakenya wote sasa wananufaika kutokana na rasilimali za serikali;

o Rais Kibaki ameelekeza shilingi bilioni 10.7 kwa mpango wa usawazishaji kwa mkoa wa Kaskazini Mashariki pamoja na wilaya za Moyale, Isiolo na Marsabit.
o Mpango maalum wa kukuza uchumi katika Mkoa wa Pwani umeanzishwa.
o Serikali sasa inatekeleza ugawaji wa mali ya umma kulingana na viwango vya umasikini. Sasa sehemu zilizoachwa nyuma kimaendeleo zinapata pesa zaidi za maendeleo.
o Usawa umeimarishwa katika ugawaji wa mali ya umma13. Vijana watambuliwa:

o Kukua kwa uchumi kumeongeza nafasi za kazi kwa vijana.
o Rais Kibaki ametunga Wizara maalum ya vijana.
o Shilingi bilioni moja za kuanzisha na kuimarisha biashara za vijana zimetengwa na zinapewa vijana.
o Sera ya Kitaifa ya Vijana imeundwa.
14. Wanawake wamewezeshwa:

o Asilimia 30 ya nafasi zote za kazi za umma zimetengewa wanawake.
o Tume ya Uwana Jinsia (Gender Commission) imeundwa.
o Viongozi wa shirika la Maendeleo ya Wanawake kushiriki moja kwa moja katika kamati zote za maendeleo mashinani na kitaifa.
o Akina mama na watoto wametambuliwa kama washika dau muhimu katika maendeleo.15. Barabara zilizoboreshwa

o Zaidi ya kilomita 40,000 za barabara zinakarabatiwa mfululizo.
o Zaidi ya kilomita 1, 000 za barabara zimewekwa lami. Mfano: Kisii-Chemosit, Olenguruone-Kiptagich, Sultan Hamud-Mtito Andei, na kadhalika.
o Miradi 35 ya barabara kuu inaendelea katika sehemu kadhaa nchini. Mfano: Maai Mahiu-Naivasha-Lanet, Maji ya Chumvi-Miritini, Makutano ya Machakos-Machakos
o Barabara nyingi ndogo ndogo mashinani zimejengwa kote nchini.16. Usalama barabarani kwa sababu nidhamu imeimarishwa katika sekta ya uchukuzi

o Vithibiti mwendo, mikanda ya usalama na sera nyingine zimepunguza kwa kiwango kikubwa maafa barabarani.
o Sheria na utaratibu umewekwa kwenye barabara zetu.
o Utaratibu umeregeshwa katika sekta ya matatu.17. Viwanja vya ndege vimeboreshwa:

o Uwanja wa ndege wa Kisumu unakarabatiwa kwa shilingi bilioni 2.6. Sasa wavuvi watafikisha samaki sokoni kwa haraka na kupata faida zaidi.
o Uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta unakarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 9.
o Uwanja wa Kimataifa wa Moi, Mombasa, unakarabatiwa kwa shilingi milioni 200
o Viwanja vingine kote nchini pia vinaendelea kuboreshwa; Mfano: Garissa, Malindi, Busia18. Unyakuzi wa mashamba wakomeshwa:

o Sera mpya ya umilikaji ardhi imebuniwa.
o Shilingi milioni 400 zimetengwa kuwatafutia makao maskwota na waathiriwa wa vita vya kikabila.
o Wakazi wa Mkoa Pwani wamepewa hati za kumiliki mashamba.
o Shida ya mabwanyenye-wamiliki mashamba wasiokuwepo inatatuliwa19. Uhuru na demokrasia zaidi

o Sasa wakenya wanafurahia haki zao za kibinadamu bila uoga.
o Hakuna mateso tena wala wafungwa wa kisiasa
o Vyumba vya mateso vya Nyayo vimefungwa rasmi
o Wanafunzi wa vyuo vikuu hawafukuzwi kwa sababu za kisiasa
o Hali ya maisha ya wafungwa na wafanyikazi wa jela imeimarishwa.
o Sasa mkenya yeyote yuko huru popote alipo.
o Uhuru wa vyombo vya habari umehahikishwa. Sasa vituo vya radio vya masafa mafupi vinachambua maswala nyeti bila uoga.
o Sasa wakenya wanajadili maswala yote bila uoga.20. Mashujaa hatimaye watambuliwa

o Mnara wa heshima kwa shujaa wa uhuru wetu, Field Marshall Dedan Kimathi, unajengwa katika barabara ya Kimathi, Nairobi.
o Makavazi ya Paul Ngei na Bildad Kaggia baina ya mashujaa wengine yazinduliwa.
o Pesa zimetengwa kuanzisha kituo cha elimu cha Koitalel arap Samoei.
o Jopokazi la kuweka sera maalum ya mashujaa wetu limeundwa.21. Vita dhidi ya ufisadi:

o Sheria ya Maadili kwa Wafanyikazi wa Umma imeundwa- wafanyikazi wa umma sasa wanatakiwa kutangaza mali yao
o Tume ya Kupambana na Ufisadi imeundwa.
o Wafisadi wameshitakiwa na kufikishwa mahakamani.
o Sheria Mpya ya kutoa kandarasi za serikali imeundwa kuhakikisha uwazi na utoaji huduma bora zaidi kwa wananchi.

21. Utalii wakua kwa zaidi ya asilimia thelathini (30%)

o Utalii umeipatia nchi shilingi bilioni 48.9 mwaka wa 2005.
o Kazi nyingi zimepatikana kutokana na kuongezeka maradufu kwa watalii.
o Hoteli zimejaa watalii kwa asilimia 100.
o Safari za ndege kwenda Mashariki ya Mbali na Uchina sasa zinaleta watalii zaidi.
o Jumba la mikutano la KICC limekarabatiwa – sasa ni kivutio muhimu cha utalii.
o Maasai Mara imetambuliwa kama mojawapo ya maajabu saba ya ulimwengu – sababu ingine ya kujivunia kuwa Mkenya.
o Barabara ya kutoka Narok hadi Maasai Mara itaundwa kwa gharama ya shilingi bilioni 3.22. Uhuru wa uandishi wa habari umekuzwa:

o Vituo 16 vya runinga (televisheni) vimepewa leseni.
o Vituo 30 vya radio vinafanya kazi.
o Vituo 50 vya radio za nyanjani/mikoani vimepewa leseni.
o Mswada wa kuwapa wananchi haki na uhuru wa kupata habari kutoka kwa serikali umewakilishwa bungeni. Sheria za siri za serikali kutupiliwa mbali.
o Waandishi wa habari wana uhuru zaidi23. Mawasiliano yamekua na kuimarika.

o Zaidi ya simu 260,000 za nyaya
o Zaidi ya Wakenya milioni 6 wanamiliki rununu (simu za mkono)
o Kusangaza mawasiliano – ukodishaji wa miundo ya mtandao unatayarishwa
o Mtandao wa kurusha mawasiliano kwa haraka zaidi (Fibre Optics cable) pia unaandaliwa24. Vyama vya ushirika vimezinduliwa:

o Vyama 10,800 vya ushirika vimesajiliwa.
o Asilimia 98 ya vyama vya ushirika tayari vina uoungozi mpya uliopatikana kupitia uchaguzi huru na wa kidemokrasia.
o Kuna zaidi ya Wakenya milioni 6 katika vyama vya ushirika
o Jumla ya zaidi ya shilingi bilioni 105 zimekusanywa na vyama vya ushirika.25. Miji imerembeshwa na kunadhifishwa.

o Taa za barabarani zimewekwa Jijini Nairobi.
o Barabara zimepakwa rangi.
o Miti imepandwa.
o Maua yamepandwa.
o Urembeshaji wa mji wa Mombasa unaendelea26. Wafanya biashara wanatunzwa:

o Rais Kibaki ameagiza kujengwa kwa masoko ya kisasa ya wachuuzi katika miji yote mikuu.
o Soko la wachuuzi la Muthurwa, Nairobi, limeanza kujengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.
o Biashara za jua kali zimepewa msukumo kabambe.27. Uwekezaji umeimarishwa:

o Mazingira bora ya kufanya biashara yametayarishwa.
o Leseni za kuanzisha biashara sasa zinapatikana kwa urahisi zaidi Uwekezaji wa thamani ya shilingi bilioni 89.4 umeidhinishwa na Halmashauri ya Uwekezaji Nchini (KIA).
o Hazina ya biashara ndogo ndogo imeundwa. sasa wananchi wa kawaida wana fursa ya kuanzisha bihashara.
o Sasa mashirika makubwa ya kibiashara, kwa mfano, Nokia na Coca Cola yamefungua makao makuu yao hapa nchini.28. Usalama:

o Polisi wamepewa nyongeza ya mishahara.
o Mfumo wa kuhusisha polisi na jamii katika usalama (community policing) umekita mizizi.
o Polisi wamepewa magari mapya na vifaa vipya vya mawasiliano. Sasa polisi wa Kenya wanauwezo zaidi wa kuhudumia Wakenya kwa urahisi.
o Polisi wafunzwa kuhusu haki za binadamu na uhusiano mwema.
o Usalama zaidi mitaani umepatikana.Na mengine mengi kwa sababu ya uongozi bora wa Rais Mwai Kibaki.

Ukweli ni kuwa, mengi yameimarika na yataendelea kuimarika.

Manufaa halisi kwa wakenya wote.

G said...

best of luck with the job hunting.
kukienda vibaya,dial some numbers..think of all the people who know people who have slept with people in the right circle:-)

Majonzi said...

new look, haven't been here in a while.

why do we have to work.... its soooo dreary!!!